Afisa
Mwandamizi Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose Mahendeka akiwasilisha Taarifa ya Sheria
mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 kwa viongozi wa Baraza
la Maaskofu Tanzania na kuwaeleza jinsi ilivyoziongelea jinsi
ilivyozieleza Taasisi za Dini hasa katika masuala ya ulipaji kodi,
wakati wa Mkutano uliofanyika Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Viongozi wa Dini wakimsikiliza Bi. Rose Mahendeka alipokuwa
anawasilisha Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya
mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Askofu
Mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo la Tabora akichangia kwenye moja ya maeneo ya
Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa
Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Father
Ludovick Minde wa Jimbo la Kahama akichangia kwenye moja ya maeneo ya
Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa
Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Father
Longino Rutagwelera wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino tawi la Mtwara
akichangia kwenye moja ya maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la
Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Fr. Raymond Saba akiongea
na wajumbe wa Baraza hilo waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo
Jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mwandamizi Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose Mahendeka akiwaeleza jambo wajumbe wa
baraza la Maaskofu Tanzania wakati wa Mkutano uliofanyika Jijini Dar
es Salaam.
Na Hassan Silayo-MAELEZO
No comments:
Post a Comment