Mahakamani : Rais Dk. Jakaya Kikwete Ateua Majaji Wawili wa Mahakama ya Rufaa - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 1 May 2015

Mahakamani : Rais Dk. Jakaya Kikwete Ateua Majaji Wawili wa Mahakama ya Rufaa



THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

Telephone:255-22-2114512, 2116898
Website : www.ikulu.go.tz

Fax: 255-22-2113425


Coat of Arms
PRESIDENT’S OFFICE,
      STATE HOUSE,
              1 BARACK OBAMA ROAD,  
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuriya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosiiliyopita, Aprili 24, 2015, taarifailiyotolewa Dar es Salaam, leo, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.
TaarifahiyoimewatajawajajihaokuwaniJaji  Augustine Gherabast Mwarijana Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambaowotewamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea walipoteuliwa Novemba 28, 2006.
Kabla ya uteuzi wake, Jaji Mwarija alikuwaJajiMfawadhi, Kitengo cha Biashara, MahakamaKuu, Dar Es Salaam. Kabla ya kuwa Jaji wa MahakamaKuualikuwaMsajiliwaMahakamayaRufanikatiyamwaka 2003 na 2006.
AliajiriwakamaHakimuMkaziDaraja la TatuFebruari 2, mwaka 1987, baadayakupataShahadayaSheriamwaka 1986.
NayeJajiMugasha, kabla ya uteuzi wake, alikuwa Jaji Mfawidhi, Dar es Salaam.Alikuwa Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha naawali Kanda ya Moshi tangu 2009 hadi alipohamishiwa MahakamaKuu, Dar Es Salaam.
Aliajiriwa kama Wakili wa Serikali mwaka 1983 baadaya kupata Shahadaya Sheria mwaka huohuo, 1983.

Mwisho.

Imetolewana:
KurugenziyaMawasilianoyaRais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.

30 April, 2015

No comments:

Post a Comment