Teknolojia na Habari : Jembe FM Yapania kuchangia katika ukuaji wa Maendeleo ya jiji la Mwanza - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Saturday, 4 April 2015

demo-image

Teknolojia na Habari : Jembe FM Yapania kuchangia katika ukuaji wa Maendeleo ya jiji la Mwanza

0.1JEMBE6
Mkurugenzi wa Mtedaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege, kwa mara ya kwanza hii leo amezungumza na wakazi wa mkoa wa Mwanza kupitia masafa mapya ya 93.7 Jembe FM kuwakaribisha kuwa sehemu ya familia ya redio hiyo sanjari na kuelezea mipango na mikakati ya kituo hicho. 
Dr. Ndege amesema kuwa Jembe FM imepania kuwa sehemu ya uchangiaji wa ukuaji wa maendeleo ya jiji la Mwanza lenye hazina za kitalii, uvuvi, madini na sekta mbalimbali za uchumi, viwanda biashara kwa kuhakikisha inapenya kihabari na kuainisha changamoto mbalimbali za jamii husika ikiwa ni sambamba na kutoa ushauri kwa nini kifanyike.
0.1JEMBE8
Mkurugenzi wa Mtendaji wa Jembe ni Jembe ambaye ni mmiliki wa Jembe FM Radio, Dr. Sebastian Ndege (kulia) akitambulishwa hewani na moja kati ya watangazaji wa kituo hicho Timoth Ngalula (kushoto). 
0.1JEMBE4
Mtangazaji Timoth Ngalula akiendelea kufanya yake at the same time 'Casmir Jembe' akiiba upicture ndani ya 93.7
0.1JEMBE5
Kutoka Jembe DjZ ni Dj K-Flip ndiye aliyekuwa akifanya makamuzi. 
0.1JEMBE7
Jembe na producer Okeleky.
0.1JEMBE13
Kutoka Jembe DjZ ni 
0.1JEMBE10
Mikakati mipango na mifano yenye uhalisia.....Dah... watu kwi-kwi-kwi...
0.1JEMBE9
Very interesting.....ingawa picha za tukio hili zilipigwa kwa kutumia kamera zisizo na sauti.
0.1JEMBE11
Mfano kwa dhati...
0.1JEMBE12
Jembe DjZ wamekubali mada.
0.1JEMBE14
Wasikilizaji wa kwanza kupiga simukupitia 93.7 Jembe Fm Mwanza ambao walijizawadia zawadi mbalimbali ikiwemo Tshirt za JEMBEKA complimentary za kutinga Jembe Beach katika kusherehekea sikukuu ya Pasaka ambapo msanii wa Bongo Fleva Young Dee sanjari na JJ Band watakisanukisha siku hiyo.
0.1JEMBE15
Sasa ni wakati wa kula bata @jembenijembe Instagram.
0.1JEMBE3
Washkaji wametoka Arusha hadi Mwanza 'KUJEMBEKA' kutoka kushoto ni Fredy Materu, George Albert, Ray, na Bonny wakiwa na rubani wao 'Casmir Jembe' pale kati.
0.1JEMBE16
Another one.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *