Napenda kumshukuru Mungu kwa kunifikisha leo Aprili 10 siku yangu ya kuzaliwa... Hakika Mungu ni mwema kwa kila jambo. Pia napenda kuishukukuru familia yangu, ndugu jamaa na marafiki kwa kuwa pamoja nami mpaka leo. Asanteni sana. Wazalendo 25 Blog Inakutakia MAISHA mema Yenye Kumpendeza MUNGU.
Tanzania mgeni rasmi Maonesho ya Ufugaji Nyuki Afrika nchini Algeria
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe Mobhare Matinyi, akizungumza na
vyombo vya habari vya Algeria wakati akitangaza kuwa Serikali ya Jamhuri ya
Muun...
11 hours ago

No comments:
Post a Comment