Muziki Wetu : Tizama hapa wimbo na Video nzuri toka kwa Ben Pol - Sophia - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 26 April 2015

Muziki Wetu : Tizama hapa wimbo na Video nzuri toka kwa Ben Pol - Sophia


Ben PolVideo ilitengenezwa nyumbani kwao Dodoma ikiwa ni hit single kwenye Radio za Tanzania sasa hivi ambapo kwenye CloudsFM Top 20 imeshika nafasi ya pili wiki iliyopita kutoka nafasi ya tano ikiwa ni wiki yake ya saba tu toka iingie kwenye Countdown. Na Millardayo.com 

Tazama Video Hapa

No comments:

Post a Comment