Michezo Yetu :Dk. Shein Agawa Vifaa vya Michezo Jimbo la Uzini, Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 13 April 2015

Michezo Yetu :Dk. Shein Agawa Vifaa vya Michezo Jimbo la Uzini, Zanzibar



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Umbuji Jape Mdumbu Ramadhan Fotokopi Mashine wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo Mohamed Raza katika uwanja wa mpira Bambi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Mpira Bambi katika sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa kwa Timu za Jimbo la Uzini leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Mpira Bambi katika sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa kwa Timu za Jimbo la Uzini leo.
Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza Daramsi akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwa mgeni rasmi kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu za Jimbo la Uzini leo katika uwanja wa Mpira Bambi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Kikombe Mwenyekiti wa Jimbo la Uzini CCM Ali Shaaban wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo Mohamed Raza katika uwanja wa Mpira Bambi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mahmoud Ame seti ya jezi wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza (kushoto) katika uwanja wa Mpira Bambi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Kati Unguja Vuai Mwinyi Seti za jezi na vifaa vyengine kwa Timu za Wilaya yake wakati hafla ya Sherehe ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa Timu 40 za Jimbo la Uzini vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo Mohamed Raza katika uwanja wa mpira Bambi leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa nasaha zake kwa wanamichezo wa Jimbo la Uzini baada ya kukabidhi vifaa mbali mbali vya Michezo leo katika uwanja wa mpira Bambi vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mohamed Raza Daramsi na kuwataka vijana hao kuvitunza na kuthamini mchamngo huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Mtoto Munira Khamis wa Bambi baada ya kumalizika kwa sherehe za utoaji wa Vifaa vya Michezo kwa Jimbo la Uzini leo vilivyotolewa na Mwakilishi wa Jimbo hilo Mohamed Raza.(Picha na Ikulu.)

No comments:

Post a Comment