Matukio : Maadhimisho ya Miaka 21 ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Thursday, 9 April 2015

Matukio : Maadhimisho ya Miaka 21 ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbari


Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura wakiwasha mishumaa maalumu kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.

Mratibu Mkazi wa UN, Alvaro Rodriguez akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akipata maelezo juu ya mwenendo wa mashauri toka ICTR mara baada ya kuwasili kwenye Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani.

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.

Mgeni rasmi Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dr. Harrison Mwakyembe na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura pamoja na meza kuu wakiwa wamesimama kimya kuwakumbuka raia waliouwawa katika mauaji ya Kimbari.

Bendera za mataifa mbalimbali zikipepea nusu mlingoti nje ya ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, kuashiria tukio la kuwakumbuka raia wa Rwanda waliouwawa mauaji ya kimbari.

Ofisa Mkuu wa Utawala wa Mahakama ya Mauji ya Kimbari ya Rwanda (ICTR), Sarah Kilemi akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.

Viongozi na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wanafunzi waliohudhuria Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam wakiwa pichani.

Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania, Stella Vuzo akitoa salamu za shukrani kwa wageni waalikwa kwenye Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari. Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wageni waalikwa akitia saini katika daftari la wageni waalikwa katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Eugene Kayihura (kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.

Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania, Bi. Usia Nkhoma akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.

Mwakilishi toka Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania, Lambert Sano akizungumza katika Maazimisho ya Miaka 21 ya kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari.

Viongozi na mabalozi mbalimbali wakiwa katika Maadhimisho hayo yaliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na Ubalozi wa Rwanda nchini Tanzania yamefanyika leo ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment