Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini anayetambulika
kwa jina la Rebecca Malope akipungia mkono mashabiki wake hawapo pichani
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Kambarage Nyerere (JNIA) jioni hii tayari kwa kutumbuiza katika tamasha la
miaka 15 ya Tamasha la Pasaka linalofanyika kesho kwenye uwanja wa michezo
wa Taifa jijini Dar es salaam, ambapo Solly Mahlangu mwanamuziki nguli
mwingine wa muziki wa injili kutoka nchini humo atawasili kesho na kujiunga
moja kwa moja na tamasha hilo.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
Which Animal Rules the Savanna with Pure Speed?
-
It’s not the lion. It’s not the gazelle it hunts.
It’s a blur of power, purpose, and raw acceleration.
It's the *CHEETAH*.
Witness the fastest land a...
No comments:
Post a Comment