Matukio : Mhe. Edward Lowassa Ahudhuria Sherehe za Kusimikwa kwa Askofu Solomon Jacob Masangwa, Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 10 January 2015

Matukio : Mhe. Edward Lowassa Ahudhuria Sherehe za Kusimikwa kwa Askofu Solomon Jacob Masangwa, Jijini Arusha


Waziri mkuu wa mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa kuwa askofu wa dayosisi ya kaskazini Kati leo Jumamosi Waumini hao walipigana vikumbo kumpiga picha na simu zao.

No comments:

Post a Comment