
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma
S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na
kuzungumza na wananchi

Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo

Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo

Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde "Kibajaji"

Ujumbe toka kwa wanafunzi wa shule ya msingi ya Msanga

Kikundi cha utamaduni cha Shule ya Msingi ya Msanga kikitumbuiza

Rais Kikwete akiangalia ngoma ya Kigogo ikichezwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Msanga

Rais Kiwkete akiwapongeza wacheza ngoma wa Shule ya Msingi ya Msanga

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi akishauriana jambo na Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally

Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally akitoa taarifa ya Wilaya

Watendaji wa Wilaya ya Chamwino wakiwa katika kikao na Rais Kikwete

Rais Kikwete akitoa ushauri na maagizo kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali

Watendaji wa Wilaya wakisikiliza kwa makini

Katibu Tawala wa Wilaya ya Chamwino akifafanua jambo

Mwalimu Silvanus Hosea wa shule ya Bwigiri ambaye ni mwalimu mwenye ulemavu wa macho akitoa maoni yake

Mwakilishi wa shirika la kimataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) akifafanua juu ya mradi wa chakula kwa wanafunzi mashuleni

Rais Kikwete akitoa ushauri wa njia bora za kuendeleza mradi wa chakula kwa wanafunzi mashuleni. Kwa Picha zingine Zaidi Bofya Hapa >>>
No comments:
Post a Comment