KIMATAIFA :RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA UJERUMANI IKULU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 11 August 2014

KIMATAIFA :RAIS WA ZANZIBAR, DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MPYA WA UJERUMANI IKULU


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi Mpya wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe,Egon Kochanke,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kujitambulisha. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment