Kikundi
cha Quality Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es salaam, wakionyesha
umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika
katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom
Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka wilaya ya
Kinondoni.
Kikundi
cha Wakali Dance kutoka Bugurunii jijini Dar es salaam, wakionyesha
umahiri wao wa kucheza wakati wa shindano la Dance miamia
lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini
wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka
katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo
kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Kikundi
cha Worries cha Kimara jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali
wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don
Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa Vodacom
Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya
Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia
kitita cha shilingi milioni 5.
Kundi
la Take over kutoka Mabibo jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri
wao wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya
Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano
hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni
Vijana
wanaounda Kundi la Mob Squad Kutoka Wilaya ya Temeke wakionyesha
umahiri wao katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es
Salaam,katika shindano la Dance miamia ,liloandaliwa na East Africa TV
chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.
Vijana
wa kundi la chapambana Fasaha kutoka ukonga wakionyesha umahiri wao
katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika
shindano la Dance miamia ,liloandaliwa na East Africa TV na kudhamini wa
Vodacom Tanzania.
Kikundi
cha Wakali Sisi kutoka Kinondoni wakionyesha umahiri wao katika Viwanja
vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika shindano la Dance
miamia ,liloandaliwa na East Africa TV na kudhamini wa Vodacom Tanzania.
Kikundi
cha Worries cha Kimara jijini Dar es salaam, wakitoa burudani murua
wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don
Bosco Oysterbay na kudhaminiwa na Vodacom Tanzani.Shindano hilo
lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi
kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi
milioni 5.
No comments:
Post a Comment