MATUKIO, KIMATAIFA : BALOZI MATHEW KISAMBA AAGA LEO, IKULU ZANZIBAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 15 July 2014

MATUKIO, KIMATAIFA : BALOZI MATHEW KISAMBA AAGA LEO, IKULU ZANZIBAR


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Urusi Lt.Gen Wynjones Mathew Kisamba alipofika kumuaga Rais leo Ikulu Mjini Zanzibar.(Ramadhan Othman,Ikulu.)

No comments:

Post a Comment