MATUKIO : DKT. JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA NEW ZEALAND NCHINI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 17 July 2014

MATUKIO : DKT. JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA NEW ZEALAND NCHINI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Richard Stuart Mann, Balozi wa New Zealand hapa nchini mwenye makazi yake Afrika Kusini. Hafla hiyo fupi ilifanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2014. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment