Mkurugenzi
Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah
Maongezi(mwenyesuti ya bluu), akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi
wa Kliniki mpya ya watu waishio na seli mundu wakati wa maadhimisho ya
Siku ya Seli Mundu Duniani, Muhimbili Dar es Salaam leo. Kutoka kulia ni
Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi
Muhimbili (MUHAS), Profesa Eligius Lyamuya na Mkurugenzi wa Tiba
Muhimbili, Dk. Hedinga Swai na kutoka kushoto ni Daktari Bingwa wa
Magonjwa ya Damu, Dk. Alex Magesa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya
Watoto na Mkuu wa Idara Muhimbili, Dk. Mary Charles.
Picha ya pamoja na Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) na wafadhili.
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi,katika picha ya pamoja na watoto wenye Siko Seli
Mkurugenzi
Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Dk. Sarah Maongezi,
katika picha ya pamoja na watoto wenye Siko Seli pamoja na Madaktari
Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili(MNH) Dar es Salaam leo katika
Maadhimisho ya Siko Seli Duniani.
Sehemu ya Madaktari na aliye vaa kitambaa ni mmoja mwenye Siko Seli,ambaye anafata ushauri wa Madaktari
Baadhi
ya watoto wanao sumbuliwa na Ugonjwa wa Siko Seli , wakiwa na wazazi
wao wakimsikiliza , Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo
(WAMA), Dk. Sarah Maongezi
Baadhi
ya watoto wanao sumbuliwa na Ugonjwa wa Siko Seli , wakiwa na wazazi
wao wakimsikiliza , Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo
(WAMA), Dk. Sarah Maongezi.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
No comments:
Post a Comment