KUTOKA MJENGONI DODOMA : MATUKIO MBALI MBALI YA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 12 March 2014

KUTOKA MJENGONI DODOMA : MATUKIO MBALI MBALI YA WABUNGE WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, William Lukuvi (kulia) akizungumza , Anna Abdallah (katikati) na Tundu Lisu wakizungumza , Bungeni Mjini Dodoma Machi 11, 2014.
Wabunge wa Bunge Maalum la Katiba Kabwe Zitto na Ibrahim Lipumba wakiteta Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014.
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho akiongozwa kutoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 12, 2014 bada ya kuahirisha Bunge hilo.
Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Mchungaji Christopher Mtikila akiongea na simu wakati alipokuwa akitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma baada yaBunge hilo kuahirishwa Machi 12, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mjumbe wa Bunge maalum la katiba na naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuzi, Kaika Telele, Bungeni Mjini Dodoma Machi 12, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka (kulia) na Dkt. Charles Tizeba wakiteta, Bungeni mjini Dodoma Machi 12, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la katiba . Kutoka kushoto ni John Shibuda, Riziki Lulida na Zabein Mhita.
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba,Mh. Pandu Kificho akifungua kikao cha semina mapema asubuhi.
Spika wa Bunge,Mhe. Anna Makinda (kushoto) akijadilkiana jambo na Waziri Mkuu,Mhe. Mizengo Pinda kulia na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Idd.
Mweyekiti wa kamati ya kanuni,Mhe. Prof. O. Mahalu akiwasilisa majumuisho ya kanuni. 

No comments:

Post a Comment