MATUKIO : DIWANI WA KATA YA SOMBETINI MHE. ALLY BANANGA AKARIBISHWA OFISINI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Tuesday 11 February 2014

MATUKIO : DIWANI WA KATA YA SOMBETINI MHE. ALLY BANANGA AKARIBISHWA OFISINI


Diwani Mteule Mhe. Ally Bananga akisaini kitabu cha wageni ofisini Manispaa ya Jiji la Arusha, na Mhe. Ephata Nanyaro Diwani wa Kata ya Levolosi (pembeni kushoto) kwa nyuma ni Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema.
Afisa Utumishi Manispaa ya Jiji la Arusha akitoa somo kwa Diwani mteule wa Sombetini Mh Ally Bananga (hayupo pichani).
Mhe. Godbless Lema Mbunge wa Arusha Mjini akimsindikiza Mhe. Ally Bananga (Diwani Mteule Kata ya Sombetini)
Mh Ngowi Mbunge viti Maalum Kilimanjaro akisaini kitabu cha wageni, nae alimsindikiza Diwani Mteule Mh.Ally Bananga. Kwa picha Zaidi bofya hapa >>>





No comments:

Post a Comment