MWILI WA WAZIRI WA FEDHA : MWILI WA DKT. WILLIAM MGIMWA WAWASILI NCHINI NA RATIBA YA MAZISHI YAKE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 4 January 2014

MWILI WA WAZIRI WA FEDHA : MWILI WA DKT. WILLIAM MGIMWA WAWASILI NCHINI NA RATIBA YA MAZISHI YAKE

Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchini kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue pamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge.

No comments:

Post a Comment