
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe. Dkt. Hussein Ali
Mwinyi (Mb) Waziri wa Ulinzi na
Jeshi la Kujenga Taifa Ikulu jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue

Mhe. Mathias Meinrad
CHIKAWE (Mb) Waziri wa Mambo ya Ndani akila kiapo

Mhe. Dkt. Asha-Rose
Mtengeti MIGIRO (Mb) Waziri wa Katiba na Sheria

Mhe. Lazaro Samuel NYALANDU (Mb) Waziri
wa Maliasili na Utalii akila kiapo

Rais Kikwete akimuapisha Mhe.
Saada Mkuya SALUM (Mb) Waziri wa Fedha

Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Dismas
KAMANI (Mb) Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na
Uvuvi akila kiapo

Mhe.
Adam Kighoma Ali MALIMA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo

Mhe. Charles Muhangwa KITWANGA (Mb) Naibu Waziri (Nishati) akila kiapo

Mhe. Amos Gabriel MAKALLA (Mb) Naibu
Waziri wa Maji

Mhe. Janet Zebedayo MBENE
(Mb) Naibu Waziri wa
Viwanda na Biashara

Mhe. Jenista Joakim MHAGAMA (Mb) Naibu
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi akila kiapo

Mhe. Dkt. Pindi Hazara CHANA (Mb) Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,
Jinsia na Watoto akila kiapo

Mhe. Godfrey Weston ZAMBI (Mb) Naibu
Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika akiapishwa

Mhe. Mwigulu Lameck NCHEMBA (Mb) Naibu Waziri wa Fedha akila kiapo

Mhe.
Dkt. Kebwe Stephen KEBWE (Mb) Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii akila kiapo

Mhe. Juma Selemani NKAMIA
(Mb) Naibu Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo

Mhe.
Mahmoud Hassan MGIMWA (Mb) Naibu
Waziri wa Maliasili na Utalii. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment