NONDOZZZZ: RAFIKI YANGU EDWARD KIKULI ASAJILIWA KUWA WAKILI MPYA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Wednesday, 11 December 2013

NONDOZZZZ: RAFIKI YANGU EDWARD KIKULI ASAJILIWA KUWA WAKILI MPYA

Nawashukuru ndugu wote mliokuwa na mimi siku hiyo ya kuapishwa kwangu,siku zote mmekuwa sababu ya mimi kuwa mwenye furaha na mwenyekujiamini zaidi.

Emmanuel pia alikuwepo kumpongeza Baba yake kwa hatua aliyofikia.
I love you so much my Son!


No comments:

Post a Comment