MAJI SAFI : DKT. GHARIB BILAL AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA ZANZIBAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 8 December 2013

demo-image

MAJI SAFI : DKT. GHARIB BILAL AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA ZANZIBAR

IMG_6233
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua kitambaa kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar zilizofanyika Disemba 7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
IMG_6237
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar zilizofanyika Disemba 7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
IMG_6244
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua Bomba kuashiria kuzindua mradi wa maji safi na salama katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar zilizofanyika Disemba 7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *