Maandamano
yakipita mbele ya Jukwaa Kuu na mabango ikiwa ni sehemu ya
ufunguzi Maadhimisho ya Sita ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu
Duniani na Maadili, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, (katikati) akikata utepe kuashiria kuzindua Kitabu cha Mpangokazi
wa Taifa wa haki za Binadamu wa mwaka 2013-2017, wakati wa ufunguzi wa
Maadhimisho ya Sita ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani na
Maadili, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam. Wa pili (kushoto) ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias
Chikawe na Naibu wake, Angela Kairuki (kushoto) Mwenyekiti wa Tume ya
Hakiza Binadamu na Utawala Bora, (wa pili kulia.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akionyesha Kitabu cha Mpango Mkakati wa Haki za Watoto 2013-2017,
wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Sita ya Kitaifa ya Siku ya Haki za
Binadamu Duniani na Maadili, uliofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam . Kushoto ni Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria, Angela Kairuki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akimsikiliza Mrakibu Mwandamizi wa Mwandamizi wa Magereza, Isaack
Kangura, wakati alipotembelea Banda la maonyesho la Magereza katika
Viawanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi wa
Maadhimisho ya Sita ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani na
Maadili.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya Sita ya Kitaifa
ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani na Maadili, katika Viwanja vya Mnazi
Mmoja jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mashiriki, Taasisi mbalimbali za Serikali na
zisizo za Kiserikali, wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, alipokuwa akihutubia wakati wa ufunguzi wa Maadhimisho ya Sita
ya Kitaifa ya Siku ya Haki za Binadamu Duniani na Maadili, uliofanyika
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam .Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment