Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
(kushoto) akipeana mkono na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu
Younqing wakati akipokea Msaada wa Pikipiki 20 zilizotolewa kwa Kampuni
ya Uchapishaji wa Magazeti ya Serikali (Tanzania Standard
Newspapers),wakati wa hafla fupi iliyofanyika leo nje ya Jengo la Golden
Jubilee,Jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa
TSN,Gabriel Nderumaki.
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
(kushoto) na Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing wakiwa
wamepanda pikikipi hizo ikiwa ni ishara ya kuzizindua kwa ajili ya
Matumizi.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akipanda kwenye moja ya pikipiki hizo.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara akitoa hotuba yake wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing akizunzumza machache wakati wa hafla hiyo.
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN,Gabriel Nderumaki akizungumza.
Mwenyekiti
wa Bodi ya TSN,Prof. Moses Warioba akizungumza machache kabla ya
kumkaribisha Mgeni Rasmi,Mh. Dkt. Fenella Mukangara kuzungumza na
Wafanyakazi wa TSN na wageni mbali mbali kutoka China.
Mwenyekiti wa Wafanabiashara wa China,Bw. Huan Zan Sen akizungumza machache.
Mwenyekiti
wa Bodi ya TSN,Prof. Moses Warioba (kushoto) akimkabidhi Zawadi kwa
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
Waziri
wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Mh. Dkt. Fenella Mukangara
akikabidhi zawadi kwa Balozi wa China nchini Tanzania,Mh. Lu Younqing. Kwa picha Zaidi bofya hapa >>>
No comments:
Post a Comment