| Kanisani kabla ya kufunga kwa pingu hizo za maisha. |
| Wachungaji wa kanisa la Waadventista Wasabato wa mjini kati Arusha wakiotoa neno kabla ya kuwafungia pingu za maisha Mr & Mrs Gwakisa K.P. Sambo mwisho mwa wiki iliopita. |
| Katika shida na Raha... |
| Hata mimi jamani nitakuheshimu na kukutunza hadi kifo kitakapo tutenganisha...!!! |
| Eeh Mungu Tusaidie... |
| Tuombee... |
| Gwakisa K. Sambo akipiga sahihi kukamilisha tukio |
| Mrs. Gwakisa Sambo akikandamiza Sahihi |
| Mr. & Mrs Gwakisa K. Sambo wakitoka nje kwa furaha |
| Picha za hapa na pale katika Hotekli ya Kimataifa ya Kibo Palace. |
| Kwelii......!!! |
| Hapo je....?Advocate Gwakisa K.P Sambo na mai wife wake sasa.... |
| MAPOZI MBALI MBALI YANAANZA |
| Pozi hilo... |
| Pozi lingine... |
| Pozi hili sasa... |
| Na pozi hili la kuvuta... |
| Na pozi hili lingine.... |
| Mr & Mrs Gwakisa wakipiga picha na wazazi wao |
| Washkaji nao na dada zake na Advocate Gwakisa Sambo |
| Picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog Kushoto na mai Wife Wake Kulia. |
| Mkurugenzi wa Maro & Company Advocates Akitoa zawadi kwa niaba ya wafanyakazi wake... |
| Soma hilo Bango hapo.. |
| Karibu kwenye ulimwengu wa Maasai Culture... |
| Heshima ya kuwa Loigwanani ndani na nje ya jiji la Arusha... |
| Hapo sasa....!!! |
No comments:
Post a Comment