![]() |
| Wakazi wa Arusha wakisubiri kupimwa masikio na kupatiwa kifaa cha kuwasaidia kusikia katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha. |
![]() |
| Madaktari kutoka Hearing Foundation wakimwekea mtoto kifaa cha kusikia katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha. |
![]() |
| Kiongozi wa madaktari hao akitoa maelekezo ya kazi kwa vijana alioongozana nao kwa ajili ya kusaidia zoezi la utoaji wa huduma hiyo, katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha. |
![]() |
| Mmoja wa wagonjwa akiwekewa kifaa cha kusikilizia masikioni katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha. |
![]() |
| Mchezaji bora wa mchezo wa rugby nchini Marekani akimpa fulana kama zawadi,baada ya kupewa kifaa cha kusikia katika hospitali ya Selian ,Jijini Arusha. Kwa hisani ya Woinde Shizza. |





No comments:
Post a Comment