WATU WANNE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MJINI DODOMA ,BAADA YA KUWAKAMATA NA MITAMBO YA KUTENGENEZEA POMBE HARAMU - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 23 May 2013

WATU WANNE WANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MJINI DODOMA ,BAADA YA KUWAKAMATA NA MITAMBO YA KUTENGENEZEA POMBE HARAMU

 Kamanda wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiwaonyesha wandishi wa Habari Mabomba ya plastik Inayotumika kama Mitambo ya kutengenezea Pombe Haramu Aina ya Gongo Mara Baada ya kuikamata wilayani Kongwa.
 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime Akifungua Moja ya Madumu yaliyokamatwa na  Pombe Haramu ya Gongo yaliyokamatwa Wilayani Kongwa huku watu wanne wakishikiliwa na jeshi hilo.
Haya ndio mabomba ya kutengenezea pombe haramu.  PICHA NA JOHN BANDA.

No comments:

Post a Comment