MBUNGE MHE. MSIGWA NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

20 May 2013

MBUNGE MHE. MSIGWA NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA

Mbunge Peter Msigwa akibebwa juu juu na wanachama wake wa Iringa


Mbunge  Msigwa akishuka katika gari ya  polisi huku akiwa chini ya ulinzi mkali  wa  FFU alipofikishwa mahakamani kabla ya  kudhaminiwa


 Mheshimiwa mbunge  Msigwa  akishuka katika gari ya  polisi chini ya ulinzi mkali  wa polisi
 Mkuu  wa FFU Iringa Said Abdalah Mnunka  (katikati) akiwa na maofisa  wenzake  wa  polisi
 Katibu  wa Chadema wilaya ya Iringa mjini Bi Suzana Mgonakulia  akitoka nje ya mahakama hiyo
Picha kwa hisani ya Francis Godwin

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633