FLAVIANA MATATA ASHIRIKI MISA YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV BUKOBA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

22 May 2013

FLAVIANA MATATA ASHIRIKI MISA YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MELI YA MV BUKOBA





 Flaviana Matata akiwa na Baba yake mzazi (suti nyeusi) katika Misa ya  maombelezo  Ajali ya MV Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma,Mwanza.


 Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka 17 iliyopita.


 Flaviana Matata akiwa ofisini kwa Bw. Projest Samson Kaija ambaye ni General Manager wa Marine Services Company ltd ambao hushirikiana nae kila mwaka katika maombolezo ya Ajali hii ambapo mwaka jana aliwapa msaada wa maboya ya kujiokoa


Flaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo. Picha na Shamim Mwasha

No comments:

Post a Comment


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633