Wanafunzi
wa Tanzania wanaosoma Elimu za Juu katika Vyuo Vikuu katika Mji wa
Nanjing Jimbo la Jiangsu nchini China,wakiwa katika ukumbi wa mikutano
wa Sofitel Luxury Hotel,katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. Wanafunzi
wa Tanzania wanaosoma Elimu za Juu katika Vyuo Vikuu katika Mji wa
Nanjing Jimbo la Jiangsu nchini China,wakisikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)
wakati alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano wa Sofitel
Luxury Hotel, Mjini Nanjing katika jimbo la Jiangsu akiwa katika ziara
ya Kiserikali. Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kushoto) akiwa na Mama Mwanamwema Shein,kushoto pamoja na
Mawaziri na Maofisa aliofuatana nao katika ziara ya Kiserikali nchini
China,Rais alipata muda wa kuzungumza na wanafunzi wa Tanzania
wanaosoma katika Vyuo Vikuu mbali mbali, na aliwaelezea hali halisi
ya Utulivu na Amani Iliyopo nchini Tanzania ambapo aliwataka kuondokana
na wasiwasi. Mwanafunzi
Sauli Elingarama ,Dkt wa Binadamu aliokuwa akiuliza swali mbele ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,wakati wa mazungumzo na Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Vyuo Vikuu
vya Mji wa Nanjing Nchini China katika jimbo la Jiangsu,Rais yupo
China kwa ziara ya kiserikali.Picha na Ramadhan Othman China.
TRA WAWASHUKURU GF TRUCK LTD NA LINDI EXPRESS LTD
-
Kaimu Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ldara ya Kodi
za ndani, kitengo cha walipakodi wa kati Godwin Barongo pamoja na
Watumishi...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment