Mlima Kilimanjaro,Mbuga ya Serengeti na Ngorongoro Craters Zashinda Maajabu Saba ya Asili Afrika. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Tuesday 12 February 2013

Mlima Kilimanjaro,Mbuga ya Serengeti na Ngorongoro Craters Zashinda Maajabu Saba ya Asili Afrika.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi tuzo ya Hifadhi ya Ngorongoro Crates Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi  katika hafla hiyo, kushoto ni Philip Imler wa Seven Natural Wonders.
Muanzilishi na muandaaji wa shindano la Seven Natural Wonders Bw.Phillip Imler akizungumza katika hafla hiyo.
Balozi Khamis Kagasheki ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.
Wadau kutoka TTB ambao pia walikuwa ni miongoni mwa wanakamati ya maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja.
 Balozi wa Kenya nchini Tanzania akizungumza na Balozi Charles Sanga Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania TTB na Mkurugenzi wa bodi hiyo Dk. Aloyce Nzuki wakati wa hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment