Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa
Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe wakati wa Mazishi ya Askofu
Thomas Laizer jana katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati
Maaskofu wakiongoza ibada ya maziko ya aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha
na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiweka udongo kaburini.
Askofu Mkuu wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa
akiongoza ibada ya maziko ya Dk. Laizer jioni hii,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Chadema, Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akitoa salamu zake.
Mbunge wa Jimbo la Arusha-Chadema,Mh. Godbress Lema akizungumza.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akitoa salamu zake.
Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini
Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya jana nje ya Kanisa
hilo.
Rais
Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti
Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini
na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari
7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna
Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe
Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi
ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia
Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka
shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer
aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya
nje ya Kanisa hilo.
Mwenyekiti wa Chadema,Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mke wa
Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja na familia
ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas
Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya
Selian,Jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer .
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei na Meneja wa CRDB kanda ya Kaskazini wakiweka
shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na
Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013
katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi
yake yaliyofanyika jioni ya nje ya Kanisa hilo.
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais
Mstaafu wa Awamu ya Tatu,Mh. Benjamin William Mkapa wakati wa Mazishi ya
Askofu Thomas Laizer katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee
Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na
Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya
Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini
Kati.mjini Arusha.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu
Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki ibada ya Mazishi ya Askofu Dkt.Thomas
Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati.mjini
Arusha jana
Rais Jakaya Kikwete akigana na viongozi mbalimbali baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Rais Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono baadhi
ya waombolezaji waliofika kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi akiwaaga waombolezaji wengine
baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Rais
Mstaafu wa awamu ya tatu Mzee Mkaa na Mama Mkapa wakiondoka kanisani
hapo baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas Laizer katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.
Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli -CCM,Edward Lowassa Akiagana na
waombolezaji baada ya kushiriki kwenye mazishi ya ya Askofu Thomas
Laizer katika kanisa la KKKT Usharika wa mjini Kati.Picha na Othman Michuzi na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment