Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana
jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt.Emmanuel Nchimbi pamoja na Inspekta
Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema muda mfupi baada ya kufungua Mkutano
Mkuu wa Mwaka wa Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Mjini Dodoma jana.
Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa maofisa waandamizi wa
Jeshi la Polisi ulifanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa mjini Dodoma
jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika
picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi muda mfupi baada ya
kufungua mkutano wao wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Pius Msekwa Mjini
Dodoma jana Jioni,Kauli Mbiu ya mkutano Huo ni” Tujenge Uwezo wa Jamii na
Polisi kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila
Shuruti,”.Walioketi Mbele ni.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt.Emmanuel
Nchimbi,Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi Saidi Mwema,Spika wa bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda na Naibu Spika Johna Ndugai.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment