DR. SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA MBALIMBALI ZANZIBAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 11 December 2012

DR. SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA MBALIMBALI ZANZIBAR



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,na Uongozi wa Wizara ya Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto,wakiwa katika Mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
 Watendaji katika Wizara ya Ustawi wa Jamii aendeleo ya Wanawake na Watoto,wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
 Watendaji wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi,Kiuchumi na Ushirika, wa Idara mbali mbali wakiwa katika Mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwezeshaji Wananchi,Kiuchumi na Ushirika,katika utekelezaji waMpango wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment