Hapa ngumi zilitembea maeneo ya stendi ndogo ,mpaka watu walipo kuja kuamua ..hii ni changamoto za maisha ndani ya ukodakta wa daladala,mwenye nguvu ndie mla nyama. |
Hapa sijui ni style gani ...??naomba majibu wadau ...mambo ya fashion. |
Karibu jijini Arusha ufurahie mandhari na mazingia mazuri kama haya,maeneo ya majengo ....Arusha ARTS & GALLERY. |
Mwandishi wa kimataifa Bw. Adam Ihucha akiwa kikazi zaidi....Mwanaume asifiwi kula bana...anasifiwa kazi......!! |
Sema neno moja tu kuhusu hii picha, kupitia email yangu ya: gadiola25@gmail.com |
Jombaaa ana wahi kazini...Steve.......huku ni mtindo wa kazi kwanza mahesabu jioniiii....!!!! |
Hizi hatua tu zinaonyesha jinsi huyu jamaa anavyowaza kilichopo mbele yake tu....kazi ..kazi...kazi...!!!! |
No comments:
Post a Comment