| Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli alifika mapemaaa |
| Mduara nao ulikuwepo ..... |
| Madiwani na wajumbe wengine wakiangalia kwa umakini uzinduzi |
| Mvua nayo iliwakimbiza watu sana...!!! |
| Uzinduzi unafanyika na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete |
| Uzinduzi unafanyika na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete,pembeni ni meya wa Jiji la Arusha. |
| Soma mwenyewe... |
| Wasanii wa Arusha waliokuwepo kwenye uzinduzi wa Jiji la Arusha |
| Diamond na kundi lake wakifanya mambo yao |
| O.K wakifanya mambo katika uzinduzi wa jiji la Arusha. |
| Ulinzi mwanzo mwisho |
| Hiki nacho kilipitishwa maeneo hayo.... |
| Waandishi wa habari wakibadilishana mawazo |
No comments:
Post a Comment