RAISI Dr. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA JACKSON MAKWETTA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 19 November 2012

RAISI Dr. JAKAYA KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA JACKSON MAKWETTA


Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta ambaye kabla ya kufariki kwake juzi alipata kuwa Mbunge na waziri katika wizara mbalimbali. Hapa ni nyumbani kwa marehemu Makweta Bunju.
Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.
Makamu wa Rais Dkt Ghalib Mohamed Bilali akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.
Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho na kuuaga mwili wa marehemu Jackson Makwetta.

No comments:

Post a Comment