RAIS DR. JAKAYA KIKWETE ATUA KANDA YA KASKAZINI - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


29 Oct 2012

RAIS DR. JAKAYA KIKWETE ATUA KANDA YA KASKAZINI



Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Vunjo-TLP Augustine Lyatonga Mrema, Muda mfupi baada ya Rais Jakaya Kikwete kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro tayari kuanza ziara ya siku nne.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama ngoma baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili wilayani same Kilimanjaro.
Sehemu ya viongozi mbalimbali  wakiwakatika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kumlaki Rais Jakaya Kikwete ambae ameanza ziara ya siku nne.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi  wilayani same Kilimanjaro kwa ziara ya siku nne ndani ya kanda ya kaskazini,ambamo anatarajiwa kufungua jiji la Arusha Ijumaa ya wiki hii.Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad