MAMA TUNU PINDA APATA NONDOZZZ - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Monday, 29 October 2012

demo-image

MAMA TUNU PINDA APATA NONDOZZZ

IMG_0683
Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha Oktoba 27, 2012.Kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda
IMG_0675 Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, John Samwel Malecela akimtunuku Shahada ya Uongozi wa  Biashara, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika Mahafali ya Chuo Kikuu Huria  yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo hicho Kibaha.

IMG_0824
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akipokea zawadi ya ua kutoka wadogo zake Salma Rehani (kulia), Mkaroga Rehani (wapili kulia) na Mabe Rehani baada ya kutunukiwa Shahada ya Uongozi wa Biashara katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
IMG_0520
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa na baadhi ya wahitimu wa mahafali hayo yaliyofanyika jana Kibaha mkoani Pwani
IMG_0541
 Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia kwenye mahafali ya Chuo hicho yaliyofanyika Kibaha.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *