Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Fid Q akiwapagawisha wakazi wa
Morogoro kwenye Tamasha la ”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi facebook na twitter bure.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney Wamitego akiwapagawisha wakazi wa
mji wa Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania .
Msanii
mkali aliopo kwenye chati hivi sasa Ommy Dimpoz akiwapagawisha wakazi
wa mji wa Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”Linaloendeshwa na
Vodacom Tanzania.
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta akisakama jukwaa kama vilivyo
mjini Morogoro wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini
humo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea
katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya Diamond akiwa amebebwa juujuu na madansa wake
wakati akitumbwiza ishirini na tano na kutumia kwenye Tamasha la
”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro.
Diamond akikata mauno kama vilivyo
wakati wa Tamasha la”WAJANJA”lililofanyika mjini Morogoro hapo
jana,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania.
Msanii
mahiri wa muziki wa kizazi kipya Shetta pamoja na madansa wake
wakiwaburudisha wakazi wa Morogoro wakati wa Tamasha
la”WAJANJA”lililofanyika mjini humo,Tamasha hilo linaloendeshwa na Vodacom Tanzania,litaendelea katika
mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi
kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma
ujumbe kwa shilingi ishirini na tano na kutumia facebook na twitter
bure.
Umati wa wakazi wji wa Morogoro
waliojitokeza katika Tamasha la”WAJANJA”linaloendeshwa na Vodacom
Tanzania,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika
mikoa ya Mtwara na Tanga .
Mkazi
wa Mjini Morogoro akichagua simu ya kununua mara alipofika katika
tamasha la”WAJANJA”lililofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini
humo,Tamasha hilo linaendeshwa na Vodacom Tanzania,na litaendelea
kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga likiwa
na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa
kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano
kwenda mtandao wowote na kutumia facebook na twitter bure.
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ommy Dimpoz watano toka kushoto na
Diamond wapili toka kulia wakiwa wamepozi kwa picha na baadhi ya
wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,kabla ya kupanda jukwani na kutumbwiza
kwenye Tamasha la”WAJANJA”Lililoendeshwa na Vodacom Tanzania Mjini
Morogoro ,Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya
Mtwara na Tanga, likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia
mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe
kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote na kutumia facebook
na twitter bure.
No comments:
Post a Comment