Mkutano wa CHADEMA Wilayani Same,Wazidi Kuvuna Wanachama Wapya Kutoka CCM na Katibu Mkuu wa Chama Cha TLP Same Ajiunga na Chadema - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 12 May 2012

Mkutano wa CHADEMA Wilayani Same,Wazidi Kuvuna Wanachama Wapya Kutoka CCM na Katibu Mkuu wa Chama Cha TLP Same Ajiunga na Chadema



  James Ole Millya akihutubia wananchi wa Same mjini.
 Katibu Mkuu wa TLP Same, Heriel Msolo(kulia) akirudisha kadi jana Mbele ya Mwenyekiti wa Baraza la Vijana BAVICHA, Ngd John Heche(wa pili kushoto)na Aliekuwa mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA), Godbless Lema(Kushoto)
  Vijana wakigombea ofa ya kadi 10 za Millya alizoahidi kuwapa .
  James Ole Millya akisalimiana na mwanachama wa CCM aliehamia CHADEMA Same 
  Aliekuwa mbunge wa Arusha Mjini(CHADEMA), Godbless Lema akiwasili Same mjini, kuliendeleza kampeni ya Vua Gamba Vaa Gamba.

No comments:

Post a Comment