Hapa na mimi nilikua nacheki mazingira...mzalendo 1 a.k.a Gadiola from Arusha to Dodoma Nane Nane |
Huwezi kutaja kilimo kwanza Dodoma bila Zabibu.. |
Na Miwa nayo ipo kwenye kilimo kwanza.... |
Ili kilimo kiwe cha ufanisi lazima uwe na Pembejeo za kilimo kama Matrekta..... |
Wenyeji wangu na wadau wa blog yetu ya WAZALENDO |
Na hii ...nayo ilikuwepo..Ewura... |
Hata wachina nao walikuwepo...... |
Wanyama walikuwepo kama Ngorongoro na Serengeti.. |
Huyu mshikaji alikua amelala ....watu wakafurahi sana..kwasababu pangechimbika..... |
Pia na huyu Chui alikuwa amelala ,sasa sijui waliambiwa walale..?? |
Hata huyu nae alikuwa amelala..!!?? |
Maelezo ya huyo KOBE hapo juu... |
Watu walikuwa wengi sana..... |
Nisaidieni haya hapa ....hata mimi sikufahamu anamaanisha nini..... |
Maofisi yalikuwepo mengi na Mawaziri pia walikuwepo wengi sana.... |
Hii huduma ilikuwepo sambamba |
No comments:
Post a Comment