| Hili ni jengo la kufundishia la Education college linaloitwa 'Lecture Theater' |
| Huyu mdau anaelekea Kwenye mabweni ya Udom Education |
| Na haya ni madarasa ya kufundishia education college 'Lecture and Seminar Rooms' |
| Hapa ni stand ya Jamatini mida ya usiku,abiria wanakua wengi sana hasa wanaoelekea Kisasa na Nzuguni |
No comments:
Post a Comment