Video mpaya ya wasanii wa kutoka Jiji la Arusha katika kundi la " WEUSI" ambao ni Joh Makini, Nikki Wa II pamoja na G.Nako, na video
hii inaitwa NJE YA BOX. Na Director wa video ni mkali wa video za aina Hip Hop, kijana Nisher. Itazame hapa chini...
Meridianbet Yaja Na Stock Trade, Hapa Akili Ndio Msaada
-
UWANJA mpya wa burudani umefunguliwa Meridianbet, na safari hii mchezo
unahitaji zaidi ya bahati. Stock Trade, mchezo mpya kutoka Expanse Studios,
umeleta...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment