Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Feb 2018

Matukio : Waziri Mkuu, Majaliwa Ahitimisha ziara ya Ukerewe



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018.

Baadhi ya wananchi wa Ukerewe wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio Februari 18, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mongella katika mji mdogo wa Nansio kuhutubia mkutano wa hadhara, Februari 18, 2018.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Dianna Malele (kushoto) wakati alipozindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa chanjo ya Polio kwa mtoto mchanga aliyepakatwa na mama yake mzazi, Rizika Shaka (kushoto) wakati alipozindua zahanati ya Nakatunguru wilayani Ukerewe, Februari 18, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad