Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


15 Jan 2018

Siasa : Kheri Awasili rasmi Ofisini





Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kheri D James akisalimiana na Mtumishi wa Makao Makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Bi.Sheila Alipowasili katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Umoja wa Vijana Wa CCM Upanga Leo.




Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana(UVCCM) Taifa Ndg.Shaka Hamdu Shaka (kwanza kushoto)akimtambulisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James kwa Makatibu wasaidizi wakuu alipowasili ofisi ndogo za UVCCM Upanga leo.



Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM) Ndg.Shaka Hamdu Shaka akimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James moja ya Ofisi ya Makao makuu.





Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg.Kheri D James akisaini kitabu Rasmi Kuingia Ofisini Leo Makao makuu ya Umoja wa Vijana wa CCM Upanga.




Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Bi Thabia Mwita akisaini kitabu,.



Viongozi wakuu wakiwa katika Ofisi ya Mwenyekiti Wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi.





Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Ndg. Kheri D James akizungumza na Watumishi wa Makao Makuu ya UVCCM Upanga leo.(PICHA NA FAHADI SIRAJI)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad