Matukio : Taswira Mbalimbali Kutoka Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania (Dodoma) - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


26 Jul 2017

Matukio : Taswira Mbalimbali Kutoka Makao Makuu ya Nchi ya Tanzania (Dodoma)



Mwonekano mwanana wa jengo la Ismailia Jamatini mjini Dodoma kutoka barabara ya Hospitali ya Mkoa wa Dodoma.
Mnara ulioko katikati ya mji wa Dodoma unaokutanisha barabara ya Dar es Salaam, Nyerere, Hospitali na Iringa pia makutano haya ni moja ya alama kuu za mji wa Dodoma.

Kibao kikionesha baadhi ya barabara kubwa zinazounganisha mji wa Dodoma

Kipita shoto katikati ya mji wa Dodoma

Moja ya Mitaa ya Mji wa Dodoma.

Taswira ya Msikiti wa Sunni uliopo barabara ya Market mjini Dodoma

Mwonekano wa Jengo jipya la Mfuko wa Pensheni wa LAPF

Shughuli mbalimbali zikiendelea pembezoni mwa makutano ya barabara ya Tembo na Mtendeni




Dereva wa Bodaboda akiwa kazini kwenye mtaa wa Mtendeni mjini Dodoma

Muuza mkaa akaikatiza mtaa wa Mtendeni mjini Dodoma akitafuta rizki

Mwonekano wa jengo la Pensheni wa LAPF karibu na stendi ya daladala zinazofanya kazi mjini humo.

Mwonekano wa barabara ya Dar es Salaam pamoja na shughuli mbalimbali zikiendelea

Wafanya biashara wakifanya biashara zao pembezoni mwa barabara ili kujipatia rizki
















Mmoja wa















No comments:

Post a Comment

Post Top Ad