Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Jun 2017

Matukio : TGGA yakabidhi vyeti kwa Wahitimu Mafunzo ya Mwanamke Kujiamini, Kujitambua na Kuwa Jasiri




Viongozi na walimu wa Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), wakishangilia baada ya kumaliza mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kujiamini, kujitambua na ujasiri katika kambi iliyofanyika hivi karibuni eneo la Mombasa, Dar es Salaam. Zaidi ya 36 kutoka mikoa mbalimbali walishiriki kwenye mafunzo hayo. Pia katika mafunmzo hayo yaliyofanyika kwa wiki moja yalihudhuriwa na viongozi kutoka nchi za Uganda, Rwanda na Madagascar




Mgeni rasmi katika hafla ya kufungakambi hiyo yalifanywa na Katibu Mkuu wa TGGA Tanzania, Grace Shaba, ambaye aliwaasa kuyatumia vizuri mafunzo hayo kwenda kuanzisha kambi za kuwafundisha wanachama mikoani wanakotoka. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG



Baadhi ya wahitimu wa mafunzo hayo wakiruka kwa furaha



Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akimkabidhi cheti mmoja wa walimu waliohitimu mafunzo hayo.



Grace Shaba akimkabidhi m cheti mmoja wa wahitimu kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Jestina Philip



Grace Shaba akimkabidhi cheti Makamu Mwenyekiti wa TGGA Mkoa wa Lindi, Sharifa



Grace Shaba akimkabidhi cheti Happy wa Makao Makuu ya TGGA Dar es Salaam








Mwalimu wa Girl Guides , Valentina akikabidhiwa cheti



Kiongozi wa Girl Guides wa TGGA, Makao Makuu, Rehema Kijazi akipokea cheti kutoka kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Grace Shsba. Katikati ni Kamishna Rose.



Michelle kutoka Rwanda akifurahi baada ya kukabidhiwa cheti



Kiongozi wa Girl Guides kutoka Madagascar akipokea cheti



Katibu wa TGGA Mkoa wa Lindi, akipokea cheti



Kiongozi kutoka Tanga, akipokea cheti



Twarhiya Hussein kutoka Lindi mtoto pekee aliyehitimu mafunzo hayo na kufanya vizuri, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba.








Rachel Baganyila kutoka Uganda akifurahi kupokea cheti



Ni wakati wa kucheza ngoma


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad