Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa apokea mifuko 900 ya Cement kutoka NSSF kwa ajili ya Tetemeko Kagera - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Oct 2016

Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa apokea mifuko 900 ya Cement kutoka NSSF kwa ajili ya Tetemeko Kagera



Waziri Mkuu wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokelewa na Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye ulemavu, Jenista Mhagama alipowasiri katika uwanja wa Kisongo Jijini Arusha.

Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea mfuko wa simenti kutoka kwa mwenyekiti wa bodi ya NSSF Prof. Samweli Wangwe,ambapo NSSF wamechangia mifuko 900 kwa wahanga wa tetemeko Kagera.
Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa pamoja na viongozi mbalimbali katika mkutano mkuu wa mwaka wa shirika la hifadhi ya jamii(NSSF) katika ukumbi wa AICC,Jijini Arusha.

Mhe. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali(kulia kwake) Mhe. Jenista Mhagama na (kushoto kwake) Mhe. Mrisho Gambo Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad