Habari zilizofikia hivi punde, zinasema kuwa aliyekuwa Waziri
was Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda, amefariki dunia jioni ya Leo
huko nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
VUNADEILA KUENDELEA KUWAJENGEA UWEZO VIJANA KUJIKWAMUA KICHUMI
-
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya Tree Oceans Ltd .
Inayojishughulisha na uendeshaji wa mchezo wa kubashili wa VUNADEILE Naseem
...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment