Matukio : Dk. Makongoro Mahanga Ahamia CHADEMA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


2 Aug 2015

Matukio : Dk. Makongoro Mahanga Ahamia CHADEMA

Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akizungumza na waandishi wa habari
Taarifa za siasa kwa sasa zimekuwa ni nyingi sana karibu kila siku lazima kutaibuka story mpye leo kuna hii ya mwanachama mwingine wa Chama cha Mapinduzi CCM katangaza kukihama chama hicho.
Mwanachama huyo ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira na Mbunge wa Segerea anayemaliza muda wake,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga, ambaye leo ametangaza kukihama chama chake hicho, huku akitoa sababu za kutokuwepo kwa Demokrasia ya kweli ndani ya CCM na ametangaza kujiunga na CHADEMA.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad